Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameipongeza Bodi ya Korosho kwa hatua ya kimkakati ya kuwakomboa wakulima kiuchumi njiani Mtwara kwa kuanza ujenzi wa Kongani ya Viwanda vya Kubangua Korosho. Amezitoa pongezi hizo wakati wa ziara yake ya ukaguzi...
Waziri wa Maliasili na Utalii,  Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ameweka jiwe la msingi na kuzindua Mradi wa Maji wa Kilewani wenye gharama ya shilingi milioni 597.6. Uzinduzi huo umefanyika katika Kijiji cha Kilewani Wilaya ya Kalambo  Mkoani Rukwa...
Na Mwandishi Wetu Serikali imesema iwe jua ama mvua itajenga Kongani ya viwanda vya kuchakata mazao ya mikoa ya kusini kwa gharama ya zaidi ya sh. Bilioni 300. Akizungumza katika mwendelezo wa ziara yake mkoani Mtwara Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein...
Na: Mwandishi Wetu,Mbeya SPIKA wa Bunge na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini na Dkt.Tulia Ackson amehamasisha Mama lishe na wananchi kutumia nishati safi ya gesi ili kutunza mazingira na kuokoa muda wa shughuli za kiuchumi huku akisisitiza kuwa umefika...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amewasili katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa tayari kwa kuanza ziara ya kikazi ya kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo leo Oktoba 1,2024. Mhe. Chana amefanya...
Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameweka jiwe la msingi la Ujenzi wa maabara ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) ya Naliendele ambayo itafanya tafiti za kukabiliana na magonjwa ya mimea (patholojia), tarehe 30 Septemba 2024...