Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka wazazi na walezi nchini kutumia fursa ya miundombinu ya shule inayojengwa kwa ushirikiano wa Serikali na wafadhili kuwasomesha Watoto na hatimaye kuchochea maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo wakati...
Chama Kikuu cha Ushirikia cha TANECU Ltd. kimeanza safari ya kuwa na ushirikia imara kwa kujenga kiwanda cha kubangua korosho Newala, mkoani Mtwara kilichogharimu shilingi bilioni 3.4. Kiwanda hicho kimezinduliwa rasmi na Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo tarehe...
Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo ambaye yeye ni Afisa Msaidizi Idara ya Itikadi,Mafunzo na Uenezi wa CCM aliyefariki jana na kuzikwa Leo kwenye Makaburi...
Serikali imeendelea kutoa msisitizo kwa Vyama vya Ushirika na kuvitaka kujenga misingi imara ya ushirika ili kumlinda mkulima badala ya kumnyonya na kumdhulumu haki zake. Hayo yamesemwa na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) tarehe 1 Oktoba 2024 wakati...