NA. MWANDISHI WETU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema hali ya lishe nchini imeendelea kuimarika kwa kwa kuzingatia Takwimu zinaonesha kupungua kwa viwango vya utapiamlo kwa baadhi ya viashiria...
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ametoa saa 24 kwa kampuni ya RV inayonunua mazao Masasi mkoani Lindi kulipa madeni ya wakulima huku akiagiza vyombo vya ulinzi na usalama kuwashikilia viongozi wastaafu wa ushirika ambao wamehusika na...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Wawekezaji kutoka Kampuni ya Ansari Group Limited ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kampuni hiyo Dr....
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi wa Timu ya Wataalamu kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bw. Harris Charalambos Tsangarides, mara baada ya kufungua vikao vya majadiliano...
Kituo cha Afya Sumbawanga Asilia kilichopo Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa kinatarajiwa kuhudumia wananchi zaidi ya elfu hamsini na Kata za Jirani Momoka na Mafulala.
Hayo yamesemwa leo Oktoba 2, 2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Balozi Pindi Chana...
Na MWANDISHI WETU,
WAZIRI WA KILIMO Mhe. Hussein Bashe, (Mb) amesema ujenzi wa Kongani ya Viwanda Maranje Newala mkoani Mtwara unalenga kuhakikisha ifikapo 2030, korosho zote zinabanguliwa nchini.
Amesema, lengo ni kuhakikisha wakulima hawauzi korosho ghafi nje ya nchi.
Bashe amesema hayo...