Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akihutubia kwenye Mkutano wa 53 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, amewataka washiriki...
If you thought partying was only a nighttime affair, think again! The Hello Jua sunrise party at Wavuvi Kempu took the concept of “nightlife” to a whole new level, and we’re still buzzing from the electrifying experience. Sponsored by...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 03, 2024 anafunga mkutano wa Kumi wa Wadau wa Lishe unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Malaika Beach Resort, Jijini Mwanza.
lengo la Mkutano huo ni kudumisha dhamira ya pamoja ya Serikali na wadau...
Wakazi wa mtaa wa Mazengo, kata ya Zuzu, mkoani Dodoma, wameliomba shirika la maendeleo la Japan (JICA), pamoja na ubalozi wa Japan, kuwasaidia kuchimba kisima kingine kutokana na kile kilichopo kutokutosheleza mahitaji ya watumiaji kuongezeka.
Kisima kilichopo sasa ni kile...
Madiwani wa Kata ya Chiwale, Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara wameelekezwa kusimamia Vyama vya Msingi vya Ushirika ili visiwadhulumu wakulima kwa kuwa ndiyo msingi wa mapato ya kuviendesha vyama hivyo.
Kauli hiyo imetolewa na Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri...