Naibu Waziri Mkuu na Wziri wa Nishati Dkt. Doto Bitteko - kuli- akipata maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi wa Mgodi wa Backreef,  Gaston Mujwahuzi - kushoto- wakati Nibu Waziri Mkuu huyo alipotembelea Banda la Mgodi huo katika hafla ya...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza na wananchi wa Lamadi, Wilaya ya Busega, Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 6 Oktoba 2024, ikiwa ni siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu...
*Awataka wadau kuunga mkono mpango wa Serikali *Waziri Mavunde asema mgomo umeisha kupitia mariadhiano *BOT yaendelea kununua dhahabu kwa bei ya soko *Wadau watoa kauli ya kuunga mkono mpango wa serikali  Bombambili,Geita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati *Mhe. Doto Mashaka Biteko* ameipongeza...
Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Doto Biteko akipata maelezo kutoka kwa Venance Mwase Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini STAMICO wakati alipotembelea banda la shirika hilo katika ufunguzi wa maonesho ya 7 ya Kimataifa...
04 Oktoba 2024, Zanzibar: Katika jitihada za kuboresha huduma za afya ya mama na mtoto, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameongoza hafla maalum ya Shukrani ya "Uzazi Ni Maisha", Oktoba, 04  2024 Ikulu Mjini...
Na Mwandishi Wetu,Arusha RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amepongeza walimu 5000 wa shule za msingi na Sekondari Jijini Arusha kupatiwa mitungi ya gesi ya oryx na majiko yake kwa lengo la kuendelea kuunga mkono jitihada za Serikali za kuhamasisha matumizi ya...