Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi, na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla, pamoja na Katibu wa NEC wa Siasa na...
Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali amewataka wananachi wilayani Mkalama kujitokeza kwa wingi kujiandikisha katika Daftari la Mpiga Kura ili wawe na sifa za kuchagua viongozi katika Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa utakaofanyika tarehe 27/11/2024. Wito huo ameutoa...
             
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dotto Biteko, ameonesha umuhimu wa hifadhi ya jamii kwa wachimbaji wadogo alipokuwa akitembelea banda la Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) tarehe 5 Oktoba 2024, wakati wa Maonesho ya...
Mchambuzi wa  masuala ya fedha kutoka Kurugenzi ya Masoko ya Fedha, Benki Kuu ya Tanzania ( BoT), Joshua Mganga (kushoto), akitoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda la Benki hiyo kwenye maonesho ya saba ya Madini yanayofanyika katika viwanja vya...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewahimiza Watanzania kuendelea kushirikiana na CCM, akisisitiza kuwa chama hicho kimeonyesha kwa vitendo uwezo wa kuongoza nchi na dhamira ya kuwahudumia wananchi wanyonge. Dkt. Nchimbi alitoa kauli hiyo...