Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali na kumpa pole mmoja wa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo ambao wamelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Ilala Jijini...
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimetoa pongezi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, wasaidizi wake na wachezaji wa Taifa Stars kwa kufuzu fainali za...
*Aanika sababu za msingi kwanini Watanzania wachagu wagombea CCM
* Atoa maagizo kwa kamati ya siasa kusaka kura kila kona tazungumzia viongozi wa Mitaa wanavyochagiza maendeleo ya nchi
Ripoti ya Said Mwishehe, Michuzi Blog
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC)Itikadi na Uenezi wa Chama...
MLEZI wa Mkoa wa Katavi ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa akihutubia maelfu ya wananchi na wanachama wa CCM kwa ujumla katika uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi wa serikali za mitaa...
Jina langu ni Amina kutokea Mbeya nchini Tanzania, toka mwaka 2016 mume wangu alikuwa akinipa mtaji, kila nikifungua biashara ikifika miezi minne inakufa ingawa mwanzo kila kitu kinakuwa vizuri ila baadaye zinakufa.
Alikata tamaa kunipa mtaji na nilikubali tu kuwa...
Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya hivi karibuni wakati wa mkutano wa G20 nchini Brazil. Akisisitiza mvuto wake, ujasiri wake, na...