Mwenyekiti wa TWCC Taifa Bi. Mercy Silla Akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) Katika mkutano wao maalum wa Kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ofisini  kwao Jijini Dar es Salaam.Wajumbe wa Bodi...
kuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe.Zainab Telack akifungua kikao kazi Cha uraghibishaji na uhamasishaji wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele kwa Viongozi wa Mkoa na Halmashauri zake Kwenye ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Shinyanga.Baadhi ya Wakurugenzi wa Halmashauri...
Karibu msomaji wetu kwenye meza ya Magazeti ya leo uweze kujisomea habari kemkem za ndani na Nje ya Nchi yetu, Karibu sana.
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette Nørgaard Dissing- Spandet (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Francis Kiwanga (kulia) wakikabidhiana hati za mkataba wa fedha ya ruzuku ya nyongeza Sh. Bilioni 1.6 kutoka Denmark kwaajili ya kuisaidia FCS...
Tazama Video 👇👇 
Na:Catherine Sungura.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima amewahakikishia wakunga kwamba Serikali itaendelea kusimama nao vema ili waweze kutimiza majukumu yao ipasavyo katika kusimamia akina mama kujifungua salama.Dk. Gwajima ametoa pongezi hizo mapema...