Na: Maiko LuogaSerikali imepanga kutumia Shilingi milioni 250 katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kukamilisha maboma matano ya Zahanati katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mkoani Singida ili kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wananchi katika kujenga na...
  Sehemu ya vijana waliojiunga katika vikundi kuzalisha mazao kwa njia ya kilimo hai kijiji cha Nzari wilaya ya Chamwino chini ya uratibu wa shirika la Kilimo Endelevu (SAT) wakiwa kwenye picha na wataalam wa Wizara...
Wataalamu wabobezi wa moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Shifa iliyopo nchini Misri wakimtibu mgonjwa mwenye matatizo ya hitilamu...