Na: Andrew Chale, DARSERIKALI kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imetoa angalizo kwa wasimamizi wa chanjo kutolipisha watu fedha kwani chanjo hizo ni bure huku ikihimidha kuzingatiwa kwa weledi.Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu (Afya)...
Na Mwandishi Wetu, Lushoto | Mbunge wa Jimbo la Bumbuli January Makamba ameahidi Kuendelea kulipigania na kulipeleka Bungeni suala zima la Changamoto ya barabara lilopo maeneo ya vijijini ili kuwepo usawa kati ya mjini na vijijini.Hayo ameyasema leo wakati akizungumza...
Afisa Mtendaji wa Kata ya Liwiti Wilaya ya Ilala IGINAS MAEMBE Leo Julai 29 /2021 ameanza kutekeleza agizo LA Serikali kutoa elimu katika Daladala za Segerea na kugawa Barakoa kwa abiria ambaye ajavaa Barakoa hizo za kujikinga na COVID...
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Tulizo Chusi akizungumza na waandishi wa habari kwenye mahojiano maalum kwenye Banda la Chuo hicho wa katika maonesho ya 16 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yanayofanyika kwenye...
Mhe.Balozi na Mkurugenzi wa Idara ya Diplomasia ya Uchumi Edwin Rutageruka akimkabidhi baadhi ya nyaraka za Ofisi Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) Bi. Latifa Khamis kwenye hafla ya kumuaga iliofanyika leo tarehe 28...