Uncategorized
DKT. TULIA NA RAIS PUTIN WAJADILIANA NAMNA BORA YA KUIMARISHA AMANI...
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya...
RIBA YA BENKI KUU YASALIA ASILIMIA 6
DAR ES SALAAM
Riba ya Benki Kuu katika robo ya tatu ya mwaka huu itaendelea kuwa asilimia 6 kama ilivyokuwa katika robo ya pili ya...
BENKI YA NMB YAZIPIGA JEKI SHULE MBILI ZA SEKONDARI MKOA WA...
Na: Mwandishi Wetu
Benki ya NMB imekabidhi meza 90 na viti 90 venye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10 kwa mbili mkoani Dar es...
DKT.MWINYI AKUTANA NA RAIS WA MSUMBIJI
ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema uhusiano uliopo kati ya Msumbiji na Tanzania ni wa ukaribu na...
KUKUMBATIA TAMADUNI ZA KIGENI NI HATARI KWA MAENDELEO YA NCHI –...
*Asema ni chanzo cha mmomonyoko wa maadili*
*Ahusisha na ukatili wa kijinsia na mauaji ya Albino*
Na: Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Naibu...
BRELA KUFANYA USAJILI WA LESENI YA KIWANDA UKIWA POPOTE KUPITIA MTANDAO
Ili kurahisisha utoaji huduma Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) kupitia mfumo wa kimtandao wa ORS ambao unaowezesha kupata huduma zao zikiwemo...