NHC

Uncategorized

Home Uncategorized Page 10

RAIS DKT. SAMIA AMPA MAUA YAKE MHANDISI SEFF WA TARURA

0
*Awataka wananchi kutunza mazingira ya mto Berega Berega, Kilosa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amempongeza Mtendaji Mkuu wa Wakala...

RAIS SAMIA AKIWA NA BAADHI YA ABIRIA KWENYE TRENI YA SGR

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Abiria pamoja na Wananchi waliojitokeza kwenye Vituo mbalimbali vya Treni ya...

WADAU WAFUNGUKA SIFA TISA ZA RAIS TLS

0
Wagombea wa nafasi ya Urais katika Chama Cha Mawakili Tanganyika (TLS) wakiwa kwenye mdahalo Na Mwandishi Wetu JOTO la uchaguzi Chama cha Wanasheria Tanzania (TLS) limeendelea...

ZIARA YA Dkt. NCHIMBI  YATIKISA UPINZANI,  YAFYEKA ACT, CUF NA CHADEMA...

0
Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, inayoendelea katika mikoa ya Kusini, akianzia Mtwara na sasa yuko...

TASAC YAFANIKISHA KUPATIKANA JAHAZI LA MIZIGO LILILOPOTEA KIGOMA

0
Shirika la uwakala wa meli Tanzania. (TASAC) kupitia. Mkoa wa kigoma imepokea taarifa ya kupotea kwa jahazi la mizigo liitwalo MV AMINA ambalo limesajiliwa...

WAZIRI MKUU: SERIKALI IMEIMARISHA NGUVUKAZI SEKTA YA AFYA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeimarisha nguvukazi kwenye sekta ya afya kwa kuongeza taasisi zinazotoa mafunzo ya afya na upatikanaji wa fursa...

POPULAR POSTS

Open chat
GREEN WAVES MEDIA
Ahsante kwa kutembeiea Uncategorized