MAELFU WASHIRIKI ‘GENERATION SAMIA JOGGING’ DODOMA
Maelfu ya vijana leo wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika tukio la Generation Samia Jogging lililofanyika jijini Dodoma, wakionesha mshikamano wa dhati na kuunga...
SIMBA FC YAANZA KWA KISHINDO MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Simba SC imefanikiwa kuanza vizuri Mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika hatua ya makundi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi...
HONGERENI WANARIADHA WA TANZANIA KWA KUSHINDA MEDALI ZA DHAHABU
Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo inawapongeza wanariadha wetu Kpt. Magdalena Shauri na Sgt. Alphonce Simbu kwa kushinda mbio za Mashindano ya Majeshi...
NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024
http://NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024
Na Mwandishi wetu, Tanga
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeibuka mshindi wa jumla katika riadha...
TASWA YAIPONGEZA TFF STARS KUFUZU AFCON
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimetoa pongezi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa...
RAIS SAMIA AMEANDIKA HISTORKA KWA TAIFA
Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea...