NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024
http://NCAA YAIBUKA KIDEDEA MASHINDANO YA RIADHA SHIMMUTA TANGA 2024
Na Mwandishi wetu, Tanga
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeibuka mshindi wa jumla katika riadha...
TASWA YAIPONGEZA TFF STARS KUFUZU AFCON
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimetoa pongezi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa...
RAIS SAMIA AMEANDIKA HISTORKA KWA TAIFA
Tanzania inang'ara katika mwanga wa uongozi thabiti wa Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye ameonyesha dhamira ya dhati ya kuimarisha umoja, kukuza uzalendo, na kusherehekea...
UMMY MWALIMU AZINDUA LIGI YA WILAYA TANGA
Na: Mwandishi Wetu, Tanga Mjini
Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ummy Ally Mwalimu amezindua rasmi Ligi...
TAWA YAITOA JASHO TPDC MCHEZO WA KUVUTA KAMBA (ME) SHIMMUTA
Timu ya Pete (TAWA) yaonesha ubora mkubwa
Na Beatus Maganja.
Timu ya wavuta kamba ya wanaume ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imeendeleza ubabe...
GOBA HILLS MARATHON YATANGAZA MARATHON MSIMU WA SITA
Klabu ya wakimbia kwa miguu (Goba Hills Marathon) imetangaza Marathoni ya Msimu wa sita itakayofanyika February Mosi 2025 Jijini Dar es salaam ikiwa na...