AZAM FC YAENDELEZA UBABE SHIRIKISHO
MWANDISHI WETU.KIKOSI cha Azam FC kimefanikiwa kusonga mbele kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Horseed ya Somalia jioni...
WANACHAMA WA SIMBA SC TAWI LA TABATA KISIWANI WAFANYA USAFI ...
Wanachama na wapenzi wa timu ya Simba SC mapema leo Asubuhi Septemba 18 ,2021 walijitokeza kufanya usafi Kwenye zahanati ya Tabata Kisiwani ikiwa ni...
SIMBA KUJIPIMA NGUVU NA TP MAZEMBE KESHO
Na: Stella kessy, DAR ES SALAAM.MABINGWA wa ligi kuu Tanzania Bara kesho wanashuka dimbani dhidi ya TP Mazembe ya DR Congo, ikiwa mechi ya...
TP MAZEMBE WATUA DAR
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM. MABINGWA Afrika, TP Mazembe wamewasili leo Tanzania kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa kesho,...
MABONDIA 20 KUZICHAPA OCTOBA 30,2021 DAR
Na: Stella Kessy, DAR ES SALAAM.MABONDIA 20 wanatarajia kuzichapa katika pambano la Mwana Ukome Derby ya Dar es Salaam Oktoba 30, mwaka huu kwenye...
SIMBA YASAINI MKATABA NA ATCL
Mwandishi wetu,Dar es SalaamUONGOZI wa Klabu ya Simba SC leo wameingia mkataba wa ushirikiano wa kibiashara na Shirika la Ndege nchini Tanzania (ATCL) ambao...




