MHAGAMA AKABIDHI VITENDEA KAZI VYA SH. MILIONI 674.3 KWA WAHUDUMU WA...
Na WAF – Bukoba, Kagera
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vitendea kazi kwa wahudumu wa afya ngazi ya jamii vyenye thamani ya Shilingi...
RAIS MWINYI AFUNGUA KITUO CHA KISASA CHA MABASI KIJANGWANI IKIWA NI...
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja na Wageni waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Kituo cha Kisasa cha Mabasi Kijangwani Wilaya ya Mjini...
PROF. MKUMBO AZINDUA NA KUWEKA MAWE YA MSINGI KWENYE MIRADI YA...
Januari 2, 2025, Mbulu-Manyara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Mhe. Kitila Mkumbo amekagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo katika...
RIDHIWANI KIKWETE, WANANCHI CHALINZE WAMWOMBEA RAIS SAMIA
Na Mwandishi Wetu
MBUNGE wa Chalinze mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete ameongoza wananchi wa jimbo lake katika dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan na...
WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU JAJI...
_▪️Rais Dkt. Samia asema Jaji Werema alikuwa kiongozi mwenye misimamo_
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Januari 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
NANI KUWA MRITHI WA KINANA CCM?
Na Mwandishi Wetu
NANI atakuwa makamu mwenyeki ti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara ni swali ambalo limeku wa likiulizwa na makada wa CCM...