BENKI YA CRDB YAPONGEZWA KWA USALAMA KAZINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwa na mifumo bora...
NCT, JKCI WASAINI MAKUBALIANO YA KUSHIRIKIANA
Dar es salaam 30.04.2025
Chuo Cha Taifa cha Utalii (NCT) wametia saini Hati ya Mashirikiano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).
Akizungumza katika...
TEA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA MAONESHO MFUKO WA UTAMADUNI
Salva Times Fm:
:::::::::
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Yaibuka Mshindi wa Kwanza Katika Maonyesho ya Kwanza ya Mfuko wa Utamaduni.
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)...
JESHI LA POLISI LAPOKEA PIKIPIKI 15 KUTOKA MGODI WA GGM KUIMARISHA...
Na John Bukukuku
Dar es Salaam, Aprili 30, 2025
Jeshi la Polisi nchini limepokea msaada wa pikipiki 15 kutoka kwa Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGM)...
SERIKALI KUHAKIKISHA BARABARA ZOTE ZA HALMASHAURI ZINAFUNGULIWA
Singida
Serikali inaendelea kuhakikisha kwamba barabara ambazo zipo katika kila halmashauri ya wilaya zinafunguliwa ili kurahisisha usafiri na usafirishaji katika maeneo ya wananchi.
Hayo yamesemwa na...
DKT BITEKO AKIHITIMISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI 2025/2026
http://DKT BITEKO AKIHITIMISHA BAJETI YA WIZARA YA NISHATI 2025/2026Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 29, 2025...