NYONGEZA YA MSHAHARA YAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WAFANYAKAZI NJOMBE
Na Happiness Shayo, Ludewa
Wafanyakazi wilayani Ludewa, mkoani Njombe, wamepokea kwa shangwe na furaha nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, iliyotolewa na Rais wa...
MHE_ZAINABU KATIMBA AMESHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI_ 2025 SINGIDA.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Zainab Katimba amekuwa miongoni mwa viongozi walioshiriki maadhimisho ya siku...
MHE CHALAMILA AONGOZA MAADHIMISHO MEI MOSI DAR ES SALAAM.
http://MHE CHALAMILA AONGOZA MAADHIMISHO MEI MOSI DAR ES SALAAM.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameongoza maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani...
RAIS SAMIA ONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI MAADHIMISHO YA MEI MOSI SINGIDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe....
BENKI YA CRDB YAPONGEZWA KWA USALAMA KAZINI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Ridhiwani Kikwete, ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuwa na mifumo bora...
NCT, JKCI WASAINI MAKUBALIANO YA KUSHIRIKIANA
Dar es salaam 30.04.2025
Chuo Cha Taifa cha Utalii (NCT) wametia saini Hati ya Mashirikiano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).
Akizungumza katika...