WASIRA AWASHUKIA WALIOPORA ARDHI ZA VIJIJI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Chama Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wassira, akizungumza na viongozi pamoja na wanaCCM waliojitokeza kumpokea katika Ofisi za Makao Makuu...
DKT.GRACE MAGEMBE AMEONGOZA KIKAO CHA WATAALAM PAMOJA NA WADAU...
Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe Januari 23, 2025 akiwa katika Kituo cha Operesheni ya Matukio ya Dharura ya Afya ya Jamii (EOC)...
UFAULU KIDATO CHA NNE 2024 WAONGEZEKA KWA ASILIMIA 5.54
Na, Lilian Ekonga
Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limerangaza Matokeo ya mtihani wa kuhitimu kidato cha Nne uliofanyika mwezi Novemba mwaka ja a...
RAIS SAMIA AKUTANA NA MJUMBE MAALUM WA RAIS WA DJIBOUTI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Djibouti Mhe....
TEF YAMPONGEZA LISSU KUCHAGULIWA MWENYEKITI CHADEMA
Januari 21, 2025 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimefanya uchaguzi wa viongozi wake wa juu wa kitaifa kwa kuwachagua Tundu Lissu (Mwenyekiti), John...
KISARAWE KUSHEREHEKEA BIRTHDAY YA DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KWA KUKATA KEKI
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti amesema maandalizi ya kusherehekea siku ya mfanano wa tarehe ya kuzaliwa rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ifikapo tarehe...