MISSANA AELEZA MIKAKATI KUDHIBITI TEMBO WAHARIBIFU
Na Mwandishi Wetu, Liwale
SHIRIKA la Maendeleo la Ujerumani (GIZ), limesema linatarajia kutumia mbinu ya uzio wa dawa ya harufu, mizinga ya nyuki...
WAZIRI CHANA ATOA WITO KWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KUSHIRIKIANA KULINDA...
Na Happiness Shayo-Arusha
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) ametoa
wito kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kushirikiana...
DKT. BITEKO AHIMIZA UPENDO, AMANI NA USHIRIKIANO SENGEREMA
*Asisitiza wananchi kushiriki Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa kwa amani*
*Asema Sengerema inahitaji maendeleo na si maneno*
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na...
PURA YATAKIWA KUJIPANGA TUKIO LA KUTANGAZA VITALU VYA MAFUTA ,GESI ASILIA
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati (anayeshughulikia masuala ya mafuta na gesi), Dkt. James Mataragio ametoa rai kwa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa...
WANAFUNZI SUA WATAKIWA KUFUATA SHERIA NA MIONGOZO YA WIZARA YA ELIMU
NA FARIDA MANGUBE MOROGORO
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) Prof. Raphael Chibunda amewataka wanafunzi waliopata fursa ya kujiunga na chuo...
SERIKALI IMETEKELEZA MIRADI MINGI SEKTA YA AFYA-DKT. BITEKO
Azindua Jengo la Kisasa la Upasuaji Sengerema DDH na Mradi wa Umeme wa Jua
Ahimiza wananchi kutunza miundombinu ya hospitali
Ataja mageuzi makubwa...