RAIS WA BENKI YA AFDB AWASILI NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO WA NISHATI.
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina, amewasili nchini kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika...
KANZIDATA NA MFUMO WA TAARIFA ZA WATU WENYE ULEMAVU ZAZINDULIWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipozindua Kanzidata na Mfumo wa Tarifa za Watu Wenye Ulemavu Unaotokana na Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya...
MONGELLA ATAKA WANACHAMA WA CCM MKOA WA LINDI KUJITOKEZA KWA WINGI...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella amewataka wanachama wa CCM Mkoa wa Lindi kujitokeza kwa wingi katika zoezi la...
DKT.NDUMBARO AONGOZA JOPO LA WATAALAMU KUTOA ELIMU NA MSAADA WA KISHERIA...
Na; Mwandishi Wetu, KIGOMA
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro ameongoza jopo la wataalamu wa msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Msaada wa...
SERIKALI YAJIZATITI KUKABILIANA NA MARBURG
Na: WAF Biharamulo, Kagera.
Serikali imeendelea na jitihada za kudhibiti ugonjwa wa Marburg nchini tangu ulipotangazwa kuwepo wilayani Biharamulo mkoani Kagera, kwa mara ya kwanza...
ASILIMIA 32 YA VIFO VYOTE DUNIANI KUTOKANA NA MAGONJWA YA MOYO
Na WAF - Dar es Salaam
Takwimu za Shirika la Afya Duniani (WHO) za mwaka 2019 zinaonyesha kuwa, takriban watu milioni 17.9...