LOCAL
Home LOCAL
SERIKALI YAELEZA SABABU ZA KUTOWALAZIMISHA WATOTO KUWAHUDUMIA WAZAZI.
Na Jackline Minja MJJWM-Dodoma
Serikali imesema haina haja ya kuweka sharti la kisheria linalowalazimisha watoto kuwahudumia wazazi wao wasiojiweza, ikieleza kuwa suala hilo tayari...
RC CHALAMILA AONGOZA ZOEZI LA UPANDAJI MITI KUSHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA...
-Atoa pesa tasilimu kwa ajili ya michezo na ahadi ya milioni 5 kwa shule ya msingi Goroka "A"
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam...
SERIKALI KUENDELEA KUFANYA MAGEUZI YA SERA– DKT. MWIGULU
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kufanya mageuzi ya sera zinazogusa moja kwa moja maslahi na ustawi wa maisha ya wananchi.
Amesisitiza...
RUWASA YATAKA CBWSOs ZIIMARISHWE KITAALAMU KUBORESHA HUDUMA KWA WANANCHI
Na Mwandishi Wetu
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA Mha. Wolta Kirita amewataka Mameneja wa Mikoa na Wilaya katika mikoa yote 25 inayohudumiwa na taasisi hiyo...
MWENYEKITI WA CCM Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN AKIONGOZA KIKAO CHA KAMATI...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu...
DKT. MWIGULU ASHIRIKI KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameshiriki Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu...










