INTERNATIONAL
WAZIRI MKUU AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Mheshimiwa Fujii Hisayuki (kulia kwake) na ujumbe aliofuatana nao kwenye...
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA JAPAN NCHINI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb)(kulia), akiagana na Balozi wa Japan nchini Tanzania aliyemaliza muda wake, Mhe.Yasushi Misawa, baada ya...
DCEA YASHIRIKI MAFUNZO YA MTANDAO WA WANAWAKE WANAOTOA HUDUMA KWA WANAWAKE...
Na Prisca Libaga
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) tarehe 16 Disemba 2024 imeshiriki ufunguzi wa Mtandao wa Wanawake Wanaotoa Huduma...
PAPA AWAONYA MAKASISI KUACHA KUFANYA SIASA
Wito umetolewa kwa makasisi wa Kanisa Katoliki kuacha kujihusisha na siasa.
Wito huo umetolewa na Papa Francis alipokuwa kwenye ziara ya siku moja huko Corcica,...
WAZIRI JENISTA MHAGAMA AZUNGUMZA NA WATAALAM WA BIMA WA NHS JIJINI...
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akiambatana na ujumbe wake kutoka Tanzania akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga...
FILAMU YA “TANTALIZING TANZANIA” YAZINDULIWA RASMI NCHINI INDIA
Na Happiness Shayo- Mumbai,India
Filamu ya kutangaza vivutio vya utalii vya nchini Tanzania ijulikanayo kama “Tantalizing Tanzania” inayomhusisha mwanamuziki wa India Shakti Mohan aliyepiga...