INTERNATIONAL
SAMIA SULUHU HASSAN : MWANGA WA TANZANIA KATIKA JUKWAA LA KIMATAIFA
Victor Oladokun, Mshauri Mkuu wa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, ameielezea vyema haiba ya Rais Samia Suluhu Hassan katika maoni yake ya...
TANZANIA NA UTURUKI KUSHIRIKIANA SEKTA YA MALIASILI NA UTALII
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Uturuki zimekubaliana kushirikiana kukuza Sekta ya Maliasili na Utalii lengo...
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akutana na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya mkutano wa G20 nchini Brazil.
Viongozi hao walishiriki katika...
DKT. ASHATU KIJAJI ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA AFRIKA (AMCEN)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ameshiriki Mkutano wa Mashauriano wa Mawaziri wa Mazingira...
RAIS SAMIA AVUNJA REKODI KUSHIRIKI MKUTANO WA G20 BRAZIL
Rais Samia Suluhu Hassan amealikwa kushiriki mkutano wa viongozi wa G20 utakaofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil kuanzia Novemba 18 hadi 19, 2024 ukiwa...
NI MUHIMU KUIPA KIPAUMBELE NISHATI SAFI YA KUPIKIA TANZANIA NA AFRIKA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewasihi viongozi na washiriki wote wa COP29 kutoka nchini Tanzania kutumia...