INTERNATIONAL
SERIKALI YA MUUNGANO WA TANZANIA IMEFUNGUA RASMI UBALOZI WAKE JIJINI JAKATA...
Akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Ubalozi huo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) amesema...
TANZANIA YAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUTOKA URUSI
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote...
DKT. TULIA NA RAIS WA IPU WAKUTANA KUFANYA MAJADILIANO
Spika wa Bunge la Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Afrika katika Umoja wa Mabunge Duniani (African Geoporitical Group in the IPU)...
BALOZI MBAROUK ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA ITALIA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia...
TANZANIA YAZINDUA UBALOZI WAKE VIENNA, AUSTRIA
Waziristan wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa Ubalozi na Uwakilishi wa Kudumu...
SPIKA DKT. TULIA AWASILI NCHINI MOROCCO
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...