INTERNATIONAL
Home INTERNATIONAL
UE YATANGAZA VIKWAZO VIPYA JUU YA URUSI.
http://UE YATANGAZA VIKWAZO VIPYA JUU YA URUSI.UMOJA wa Ulaya (EU) unatarajiwa kuidhinisha awamu mpya ya vikwazo dhidi ya Urusi ikiwa ni hatua nyingine ya...
UJUMBE KUTOKA PPAA WAWASILI KOSOVO KWA ZIARA YA KIKAZI.
Na Mwandishi wetu, Prishtina
Ujumbe kutoka Mamlaka ya Rufani ya Zabuni za Umma (PPAA) ukiongozwa na Mwenyekiti wa Mamlaka ya Rufani, Jaji Mstaafu Mhe....
MIGOGORO YA KIMATAIFA INAPASWA KUWA FUNZO KWA NCHI ZA AFRIKA _DKT.PHILIP...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango migogoro ya kimataifa inapaswa kuwa funzo kwa nchi za Afrika namna...
MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA KAMPUNI YA UZALISHAJI VIFAA TIBA YA HEALTH...
ROMA ITALIA
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea Kampuni ya Kimataifa ya Uzalishaji Vifaa Tiba ya Health...
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA AFRIKA NA ITALIA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Ubia wa Maendeleo baina ya Afrika na Italia kupitia mpango...
WAZIRI MHAGAMA ACHAGULIWA MAKAMU MWENYEKITI KAMATI TENDAJI YA MASUALA YA AFYA...
Na WAF, Djibouti
Waziri wa Afya wa Tanzania Mhe. Jenista Mhagama amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Mawaziri wa Afya na Masuala ya...