ENTERTAINMENTS
HIZI HISIA ZIMENITESA SANA, NI MAAGANO YA KABLA SIJAZALIWA
Jina la Aisha kutokea Pangani, miaka miwili nyuma nilikuwa na mahusiano na huyo kijana, ni family friend so tulizoeana tangu utotoni tukasoma shule moja...
HUYU KIJANA ALITAKA KUNICHANGANYA KIMAPENZI ILA …..!
Mimi ni mama wa watoto wawili nimeolewa yapata miaka 12 mpaka sasa nina umri wa miaka 34, kwenye maisha yangu ya ndoa nimekutana na...
ALITAKA KUONDOA BAHATI YANGU YA KUOLEWA NA MWANAJESHI
Jina langu Eliza kutokea Morogoro, mtaani kwetu kuna wakaka watano ni marafiki sana wote ni wanajeshi. Basi nikaanza kuzoeana nao. Sasa huyo mmoja nikatokea...
KWA HAKIKA SINGLE MOTHERS TUNAPITIA MENGI KATIKA MAHUSIANO!
Jina langu ni Janeti kutoka Kigoma, nilikuwa na mchumba wangu, yeye ana miaka 45 mimi 35, nina watoto wa 3 na nilimwambia akakubali, yeye...
KUMBE ALINITUMIA KUPONA MAUMIVU YA KUFIWA NA MKEWE!
Jina langu ni Beatrace, katika maisha yangu hapo awali sikuwahi kuolewa. Nilizaa watoto wawili na maisha yakaendelea, hivyo sikubahatika kupata mume wa kunioa rasmi...
BAADA YA KUSUMBUKA SANA, NIMEPATA KAZI YA Sh4.6 MILIONI
Mimi na huyu Kaka tumekua kwenye mahusiano tangu tuko chuo, tunapendana na kila kitu tunafanya pamoja. Baada ya kumaliza chuo tulianza kuishi pamoja, wote...