KURUDI KWA MINADA YA MADINI MIRERANI KUTASAIDIA KUONGEZA THAMANI YA MADINI...
️ *_Biashara kufanyika kidijitali kupitia Soko la Bidhaa Tanzania-TMX_*
️ *_Waziri Mavunde kuwa Mgeni Rasmi Hafla ya Mnada_*
️ *Wanawake wahamasishwa kuchangamkia fursa za...
TIA IMEWEZESHWA BILIONI 58.1 ILI KUKAMILISHA MIRADI YAKE-MHE.JENIFA OMOLO
Na Sophia Kingimali.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Jenifa Omolo amesema TAASISI ya Uhasibu Tanzania(TIA) ni miongoni mwa taasisi zilizowezeshwa jumla ya shilingi...
ZAIDI YA MABINTI 15 WANUFAIKA NA MAFUNZO YA USHONAJI KUTOKA ECO...
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
TAASISI inayojihusisha na utunzaji wa Mazingira 'Environment Conservation Community of Tanzania(ECCT) kupitia Mradi wake wa 'ECO WEAR' inatoa mafunzo ya ushonaji...
REA YAFIKISHA UJUMBE WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KILELE CHA MLIMA...
Wakala wa Nishati Vijijiji (REA) umeendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kutunza uoto wa asili nchini pamoja na kulinda barafu katika...
REA YAENDESHA MAFUNZO,WAGAWA MAJIKO YA GESI MAKUNDI MAALUM BUKOMBE
Katibu Tawala wa wilaya ya Bukombe, Bwana Ally Mketo akiongea na Washiriki wa mafunzo kuhusu nishati safi ya kupikia; mafunzo yalioendeshwa na REA kwa...
BENKI KUU YA TANZANIA KUSIKILIZA MALALAMIKO YA WATEJA KIDIGITALI
Kaimu Mkurugenzi wa Ustawi na Huduma Jumuishi za Fedha BoT, Ms Nangi Massawe, Akizungumza wakati wa ufunguzi wa warsha maalum kwa watoa huduma za...