MWENGE WA UHURU WAZINDUA KIWANDA KIKUBWA CHA PLASTIC KAHAMA
Na:Saimon Mghendi, KAHAMAMwenge wa Uhuru umezindua mradi wa Kiwanda cha KAHAMA PLASTIC INVESTIMENT kilichotumia takribani Tsh. Bilioni 5 kwa sasa kilichoopo kwenye Kata ya Mhongolo...
BENKI YA EQUITY YAPONGEZWA KULETA KADI YA MALIPO (PREPAID EAZY CARD)...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Deogratius Ndejembi (kushoto) akiangalia Kadi maalum ya malipo (Prepaid Eazy Card)...
TAHA YANG’ARA MAONESHO YA SABASABA DAR.
Afisa lishe kutoka TAHA Salome Stephen (kushoto) na Afisa ufuatiliaji na Tathimini kutoka TAHA Magdalene Mhina (kulia) wakionyesha Mazao ya Sltrucurture.Afisa ufuatiliaji na Tathimini kutoka...
PROF. MKUMBO ATOA UFAFANUZI WA MABANDA YA SABA SABA KUITWA MAJINA...
DAR ES SALAAM.Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb) ametoa ufafanuzi wa taarifa ya mapendekezo ya ukarabati wa Jengo la Madini...
STAMICO YAWA KINARA KWENYE MADINI MAONESHO YA SABASABA
Na: Hughes Dugilo.Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Hemed Abdullah ametembelea banda la Shirika la Madini la Taifa...
WAZIRI WA VIWANDA PROF. MKUMBO ATEUA WAJUMBE WA BODI YA TANTRADE
Waziri wa Viwanda na Biashara Profesa Kitila Mkumbo amewateua wajumbe saba wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE)....