ISRAEL YAKOSHWA NA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA
Baadhi ya watalii kutoka Israel wakipita kuangalia kikundi cha utamaduni kutoka kabila la Wamasai katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kabla...
NMB MARATHON 2021 YAZINDUA,MAPATO KUTIBU WAGONJWA FISTULA CCBRT
Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki y NMB, Ruth Zaipuna na Afisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Brenda Msangi wakionyesha mkataba wa maelewano baada...
WAZIRI MKENDA ATUA BABATI//AITAKA NFRA KUFANYIA KAZI CHANGAMOTO KABLA YA KUKABIDHIWA...
Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda akikagua ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa vya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA)...
WAZIRI MKUU ATANGAZA ZABIBU KUINGIZWA KWENYE MAZAO YA KIMKAKATI
DODOMA.Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa amesema zao la zabibu litajumuishwa katika mazao ya kimkakati ikiwa ni mkakati wa serikali kuinua zao hilo linalolimwa jijini...
KACU KUANZA KUUZA MAROBOTA YA PAMBA ULAYA
Abduly Ally Kaimu Meneja ja wa Kiwanda kinachomilikiwa na Chama kikuu cha ushirika Kahama (KACU) akitoa ufafanuzi.Marobota ya Pamba yaliofungwa tayari kwa kuuzwa njee...
WAZIRI BITEKO ATEMBELEA MGODI WA LUKALASI UNAOMILIKIWA NA MZAWA
Waziri wa Madini Dotto Biteko kushoto na Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Balozi Wilbert Ibuge kulia,wakimsikiliza jana mmiliki wa mgodi wa dhahabu Lukalasi wilaya...