BEKI YA NMB YAPIGA JEKI ZAHANATI YA KIJIJI CHA IVILIKINGE WILAYA...
Na Mwandishi wetu, Makete.
Benki ya NMB imekabidhi vifaa tiba ikiwemo vitanda na mashuka katika Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge wilyani Makete mkoani Njombe vyenye...
WANAKIJIJI WA UCHAMA MAENDELEO NI HATUA, SERIKALI IMEDHAMIRIA KUWALETEA NEEMA ZAIDI...
Vijiji vya Undomo na Mbogwe vilivyopo katika Kata ya Uchama, Wilaya ya Nzega vimeahidiwa kujengewa Kituo cha Zana za Kilimo na kupatiwa...
USHETU WATOA MAUA YAO KWA WAZIRI BASHE KWA KUISHI KWA VITENDO...
Wananchi wa Halmashauri ya Ushetu na Wilaya ya Kahama wamemlaki kwa maelfu na shangwe za kishindo Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na...
RAIS SAMIA HANA DENI KWA WATANZANIA SEKTA YA KILIMO – BASHE
Na MWANDISHI WETU
NIRC,Kahama
WAZIRI wa Kilimo Mhe. Hussin Bashe (Mb) amesema Rais Dk.Samia Suluhu Hassan hana deni kwa watanzania katika sekta ya kilimo hivyo watendaji...
BASHE: SIKIMU YA MZEE SHIJA KUNUFAISHA WAKULIMA WA WILAYA YA KAHAMA
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga tarehe 15 Septemba 2024 ambapo ametrmbelea mradi wa...
SEKTA YA UGANI KUPEWA HESHIMA NCHINI
Maafisa Ugani 23 wa Wilaya ya Igunga, mkoani Tabora wamepewa moyo na Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) na kuelezwa Serikali imewekeza...