TANZANIA YA SITA DUNIANI, ONGEZEKO LA WATALII.
Ukuaji wa Utalii Tanzania Chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan: Zama Mpya za Fursa
Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu...
SERIKALI KULETA MAPINDUZI TASNIA YA KAHAWA
Serikali imewahakikishia wakulima na wamiliki wa viwanda vya kukoboa Kahawa nchini kuwa itatengeneza utararibu wa kuuza kahawa ili kuwa na mfumo wa uwazi...
KITUO CHA TARI NDENGU KUFUFULIWA
Kituo cha Utafiti wa Kilimo cha TARI kilichojengwa mwaka 1959 katika eneo la Ndengu, Wilayani Mbinga kwenye Mkoa wa Ruvuma kimeelekezwa kufufuliwa ili...
WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU UNUNUZI WA KAHAWA KWA NJIA YA KANGOMBA
NIRC, Ruvuma
WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe (mb) amepiga marufuku wafanyabiashara wanaonunua kahawa kwa njia ya Kangomba na kuagiza wakamatwe huku akisisitiza kuwa uwekezaji mkubwa...
MAVUNDE AGAWA MITUNGI YA GESI DODOMA MJINI
MBUNGE wa Dodoma Mjini na Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde,akabidhi mitungi ya gesi kwa taasisi za umma ikiwemo shule za msingi na Sekondari, Vituo...
BENKI YA ACB WANAKUAMBIA “TUPO MTAANI KWAKO”
Tumezindua rasmi program yetu ya TUPO MTAANI KWAKO kupitia timu yetu bobezi ya mauzo. Sasa tunakufikia popote ulipo kupitia timu yetu ya mauzo kupata...