DKT NCHEMBA AISHUKURU IMF KWA KUCHANGIA MAENDELEO YA NCHI
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kulia), akiwa katika picha ya pamoja na Kiongozi wa Timu ya Wataalamu kutoka Shirika la...
IFIKAPO 2030 KOROSHO ZOTE ZITABANGULIWA NCHINI – BASHE
Na MWANDISHI WETU,
WAZIRI WA KILIMO Mhe. Hussein Bashe, (Mb) amesema ujenzi wa Kongani ya Viwanda Maranje Newala mkoani Mtwara unalenga kuhakikisha ifikapo 2030, korosho...
TANECU YAANZA SAFARI YA USHIRIKA IMARA KWA KUZINDUA VIWANDA VYA KUBANGUA...
Chama Kikuu cha Ushirikia cha TANECU Ltd. kimeanza safari ya kuwa na ushirikia imara kwa kujenga kiwanda cha kubangua korosho Newala, mkoani Mtwara kilichogharimu...
VYAMA VYA USHIRIKA BADILIKENI
Serikali imeendelea kutoa msisitizo kwa Vyama vya Ushirika na kuvitaka kujenga misingi imara ya ushirika ili kumlinda mkulima badala ya kumnyonya na kumdhulumu haki...
KONGANI LA VIWANDA VYA KUBANGUA KOROSHO MBIONI KUJENGWA MTWARA
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) ameipongeza Bodi ya Korosho kwa hatua ya kimkakati ya kuwakomboa wakulima kiuchumi njiani Mtwara kwa kuanza ujenzi...