TANZANIA YAJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA NYUKLIA KUZALISHA UMEME
*Dkt. Biteko atangaza msimamo katika Mkutano wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia
*Asema mashapo 58,500 ya urani kutumika kama chanzo cha uzalishaji
*Marekani kuendeleza ushirikiano na...
RAIS SAMIA AZINDUA TUME YA MABORESHO YA KODI IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kabla ya kuzindua Tume ya Rais ya Maboresho...
RIBA YA BENKI KUU (CBR) KUBAKI ASILIMIA SITA KIPICHA CHA ROBO MWAKA
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT), Emannuel Tutuba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati akitoa taarifa ya kamati ya fedha leo Oktoba 3,2024...
EWURA YAELIMISHA WATU WENYE ULEMAVU MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA...
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mussa Azzan Zungu, akihutubia jumuia ya watu wenye ulemavu wakati wa ufunguzi wa...
BASHE: MADIWANI SIMAMIENI VYAMA VYA MSINGI VISIWADHULUMU WAKULIMA
Madiwani wa Kata ya Chiwale, Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara wameelekezwa kusimamia Vyama vya Msingi vya Ushirika ili visiwadhulumu wakulima kwa kuwa ndiyo...