NAIBU WAZIRI MAVUNDE AIPONGEZA NIC KUANZISHA BIMA YA MAZAO AWATAKA WAKULIMA...
Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde (kushoto) akimsikiliza Meneja wa Shirika la Bima la Taifa Justine Seni (kulia) mara wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea...
TFRA YAWAHIMIZA WAKULIMA KUJIUNGA KATIKA MFUMO WA MBOLEA YA RUZUKU
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) Dkt. Stephan Ngailo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawamo pichani) katika mkutano maalum...
UZINDUZI WA KAMPENI YA “STAMICO NA MAZINGIRA AT 50” AGOSTI 10,...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Dkt. Venance Mwasse (kushoto), akizungumza na wanahabari wakati akitangaza ujio wa kampeni ya upandaji miti...
WAKURUGENZI WAMETAKIWA KUANDAA MASHAMBA DARASA KATIKA HALMASHAURI ZAO
NA: FARAIDA SAID, MOROGORO.Wakurugenzi wa Halmashauri za mikoa ya Pwani,Tanga Dar es Salaam na Morogoro zinazounda kanda ya mashariki ya maonesho ya Nanenane wametakiwa...
NIC YATAMBULISHA BIMA YA MAZAO KWA WADAU WA KILIMO MAONESHO YA...
Meneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Mkoa wa Mbeya Justine Seni (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya...
BANK OF AFRICA YAWAPATIA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAFANYABIASHARA MWANZA
Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Adam Mihayo, akifungua warsha ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara wateja wa benki hiyo iliyofanyika jijini Mwanza.***BANK OF AFRICA-TANZANIA...