LATRA YAANIKA MAFANIKIO YAKE MIAKA MINNE YA UONGONZI WA RAIS SAMIA
Na. Mwandishi wetu, DAR ES SALAAM.
Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) Bw. Habibu Suluo amesema jumla ya leseni za usafirishaji zilizotolewa kwa...
EXIM BANK YABORESHA UCHUKUAJI MIKOPO KWA WATUMISHI WA UMMA KUPITIA UTUMISHI...
Mkuu wa Idara ya Wateja Binafsi na wa Kati kutoka Benki ya Exim Tanzania, Bw. Andrew Lyimo (kati) akizungumza wakati wa kutangaza maboresho ya...
SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI-MAJALIWA
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan itaendelea kufanya maboresho zaidi ya mazingira...
JAFO AIPONGEZA ITRUST FINANCE KUDHAMINI SOKO LA JIBA SOUK
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amewataka wadau na wafanyabiashara nchini kujitokeza na kuiga mfano wa kampuni ya huduma za...
SERIKALI: FAIDA ITOKANAYO NA UWEKEZAJI IFIKIE ZAIDI YA ASILIMIA 10
Pwani.
Serikali inataka faida itokanayo na uwekezaji ‘return on investment’ katika kampuni ambazo inaumiliki wa hisa chache iongezeke kutoka asilimia saba ya sasa hadi kufikia...
TPA YANG’ARA UTENDAJI BORA
Na Mwandishi Wetu
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imepokea pongezi kutoka Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa...










