KONGAMANO LA KWANZA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NISHATI KUFANYIKA TANZANIA
Dar es Salaam, Tanzania – Mkutano wa kwanza wa Uwekezaji katika Sekta ya Nishati Tanzania unatarajiwa kufanyika tarehe 12-13 Novemba 2024 jijini Dar es...
DIB: SEKTA YA FEDHA NCHINI IKO IMARA, TULIVU
Kulwa James Kasuka, Mhasibu Mwandamizi kutoka Bodi ya Bima ya Amana DIB kulia akitoa zawadi ya mifuko kwa wananchi waliotembelea kwenye banda la DIB...
WAZIRI CHANA AELEKEZA HALMASHAURI KUDHIBITI MATUKIO YA MOTO MISITUNI
Na; Happiness Shayo - Makete
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amezielekeza Halmashauri zote nchini kuzuia mianya inayosababisha moto kwenye...
WAZIRI JAFO AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA JAPANI NCHINI TANZANIA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japani nchini Tanzania, Mhe. Yashushi Misawa na Ujumbe...
KENYA YAVUTIWA NA MAENDELEO YA STAMICO
GEITA.
Ujumbe kutoka Chama cha Wachimbaji Wadogo kutoka Kenya umevutiwa na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kwa hatua kubwa iliyopiga katika sekta ya madini...
MAMLAKA YA BANDARI YASHIRIKI KATIKA MAONESHO YA MADINI GEITA
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania TPA inashiriki katika Maonesho ya Saba ya Teknolojia ya Madini yanayofanyika katika Viwanja vya Bomba mbili Mkoani Geita.
Mamia...