TANZANIA INAVYOONGOZA KATIKA KUPAMBANA NA UMASKINI AFRIKA
Tunapoadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Umaskini (Oktoba 17), Tanzania inajitokeza kuwa kielelezo cha matumaini na maendeleo.
Kwa mujibu wa takwimu za Afrobarometer, asilimia 51...
MATUNDA YA ROYAL TOUR, TANZANIA YAPOKEA TUZO ZA HESHIMA KWENYE UTALII
Tanzania inaendelea kung'ara kwenye jukwaa la kimataifa! Katika tuzo za hivi karibuni za World Travel Awards, nchi imejipatia tuzo kadhaa za heshima, ikithibitisha sifa...
WAUGUZI 200 WAPATIWA MITUNGI YA GESI NA MAJIKO YAKUPIKIA CHALIZE
Na Mwandishi Wetu,Chalinze
WAUGUZI 200 katika Halmashauri ya Wilaya Chalinze Mkoani Pwani ambao wanaohudumia wamama wenye watoto njiti wamepatiwa mitungi ya gesi ya Oryx...
NHC YAJITANUA KIBIASHARA KATIKA MIKOA
Muonekano wa jengo la Mtanda Plaza lililopo Matanda mkoani Lindi ambapo ujenzi wake unaendelea. Hili ni jengo kubwa na lakisasa lenye kutoa huduma zote...
WAZIRI BASHE AKITAKA CHUO KIKUU SUA KUENDESHA MIJADALA YA KILIMO
NA FARIDA MANGUBE
Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amesema ipo haja ya kuwa na mijadala mahususi ya kitaifa kujadili masuala mtambuka juu ya muundo...
VYAMA VYA USHIRIKA VYASHAURIWA KUTUMIA MFUMO WA KIDIJITALI KATIKA MAJUKUMU YAO
Na Veronica Mheta, Arusha
Vyama vya Ushirika Nchini vimeendelea kushauriwa kutumia Mfumo wa Kidigitali wa Usimamizi wa Vyama vya Ushirika ( MUVU) ili kuwawezesha watendaji...