NEEMA ADRIAN
RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE TOKA KWA WAZIRI WA ETHIOPIA
Rais Samia Suluhu Hassan apokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed na kukutana na Katibu Mkuu Msaidizi wa Umoja...
TIGO KUSHIRIKI NA PARIMATCH PROMOSHENI VIBUNDA SPESHO
Na: Neema Mathew
Kampuni ya Michezo ya Kubashiri Parimatch kwa kushirikiana na Mtandao wa Tigo Pesa leo inazindua rasmi promosheni yake mpya ya ‘VIBUNDA SPESHO’,...
TADB NA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI WATOA BILIONI 1.2 KUSAIDIA...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega akiwakabidhi wanufaika wa mradi wa uvuvi mkoa wa Tanga mfano wa funguo za boti. Kupitia mradi huo wizara...
KAMPENI YA MAOKOTO NDANI YA KIZIBO YAZIDI KUNUFAISHA WATANZANIA
Kampeni ya Maokoto Ndani ya Kizibo Yazidi kunufaisha Watanzania
Mshindi wa promosheni ya Maokoto ndani ya kizibo mkazi wa Lamadi Peter Galos, akipokea mfano wa...
DIAMOND PLATNUMZ ASHINDA TUZO ZA MTV EMA
Msanii wa muziki Bongo Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' usiku wa kuamkia leo ameshinda Tuzo za MTV EMA katika kipengele cha Best African Act.
Kwenye kipengele...
YANGA SC YAICHARAZA SIMBA 5-1 KARIAKOO DERBY KWA MKAPA
Mchezo wa Dakika 90 ambazo zimechezwa katika uwanja wa Mkapa jijini Dar-es-Salaam kati ya timu ya Simba SC na Yanga SC zimemalizika ikiwa Yanga...







