NEEMA ADRIAN
RC CHALAMILA AZINDUA KAMPENI SHELL TUMERUDI KIVINGINE KATA KILOMITA
Vivo Energy Tanzania, kampuni inayosambaza vilainishi vya Shell na Engen, imezindua rasmi kampeni yake mpya kabisa, ‘Shell Tumerudi Kivingine Kata Kilomita’, inayolenga kurudisha upya...
TAWA IMEJIZATITI KULINDA MAISHA YA WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI NA...
Na Mwandishi wetu, Dodoma
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano Kwa umma wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Nchini - TAWA Beatus Maganja amesema taasisi...
MBUNGE WA BUSANDA AHIMIZA WAJASIRIAMALI KURASIMISHA BIASHARA
Mbunge wa Jimbo la Busanda , Mhe. Tumaini Brygeson Magessa amewataka wajasiriamali wanaoshiriki katika maonesho ya 7 ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini katika...
MHE. DKT BITEKO ARIDHISHWA NA HUDUMA ZA BRELA KATIKA MAONESHO YA...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt Doto Biteko ameipongeza na kuridhishwa na huduma zinazotolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni...
TAWA KUENDELEA KUTUMIA MABOMU BARIDI KUDHIBITI WANYAMA WAKALI NA WAHARIBIFU
Yagawa mabomu baridi 2,567 Kwa Kanda 7 kuimarisha zoezi la kufukuza tembo.
Na. Joyce Ndunguru, Morogoro.
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania - TAWA, imegawa mabomu...
SERIKALI ITAENDELEA KUTOA FEDHA ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI-MAJALIWA.
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye sekta...