HUGHES DUGILO
WAZIRI MKUU AZINDUA KAMPENI YA MAMA SAMIA LEGAL AID MKOA WA...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Katibu wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Nelson Frank (kushoto) kwenye uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya Msaada wa...
NIMEMKOPESHA MUME MSHAHARA AKANUNUA GARI ALA BADO ANANITESA
Muda mfupi baada ya kuolewa, mume wangu aliniambia nikope mshahara wangu wote, nilikataa lakini niliishia kipigo, tena akiniambia kuwa mimi ni mbinafsi, sitaki kumpa...
MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KOREA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania...
BALOZI DKT. NCHIMBI: CCM HAITAVUMILIA WANAOKIUKA KANUNI
Dodoma
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ameonya vikali wanachama wanaotafuta uteuzi wa udiwani, uwakilishi na ubunge kwa njia...
Dkt. MWINYI AZINDUA BOTI ZA KUSAFIRISHIA WAGONJWA (AMBULANCE BOAT) ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Boti za Kusafirisha Wagonjwa (Ambulance Boat)Verde...
AMUUA MKEWE NA MTOTO WAKE CHANZO KIKIDAIWA WIVU WA KIMAPENZI-RPC MORCASE
Na Mwamvua Mwinyi, Pwani Februari 19, 2025
JESHI la Polisi mkoani Pwani, linamshikilia Tanganyika Masele (32), Mkazi wa Kisengile, Kitongoji cha Buduge, Kata ya Marui...