HUGHES DUGILO
NYONGEZA YA MSHAHARA YAPOKELEWA KWA SHANGWE NA WAFANYAKAZI NJOMBE
Na Happiness Shayo, Ludewa
Wafanyakazi wilayani Ludewa, mkoani Njombe, wamepokea kwa shangwe na furaha nyongeza ya mshahara kwa watumishi wa umma, iliyotolewa na Rais wa...
RAIS SAMIA ONGOZA VIONGOZI MBALIMBALI MAADHIMISHO YA MEI MOSI SINGIDA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Mhe....
NCT, JKCI WASAINI MAKUBALIANO YA KUSHIRIKIANA
Dar es salaam 30.04.2025
Chuo Cha Taifa cha Utalii (NCT) wametia saini Hati ya Mashirikiano na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI).
Akizungumza katika...
TEA YAIBUKA MSHINDI WA KWANZA MAONESHO MFUKO WA UTAMADUNI
Salva Times Fm:
:::::::::
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Yaibuka Mshindi wa Kwanza Katika Maonyesho ya Kwanza ya Mfuko wa Utamaduni.
Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA)...
MAJALIWA MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Aprili 29, 2025 ni mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari, inayofanyika katika ukumbi...
MTOTO ASIPOPATA CHANJO HATARINI KUPATA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA -MHAGAMA
Na. WAF, Tabora
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameiasa jamii kuwa mstari wa mbele kuhakikisha watoto wote wanaostahili kupata chanjo wanapata ili kujikinga na...