HUGHES DUGILO
UPIMAJI WA AFYA UNAENDELEA MKOANI KIGOMA
Na. WAF - Kigoma Maadhimisho ya Hedhi Salama Duniani yametoa fursa ya upimaji afya wa Magonjwa mbalimbali pamoja na utoaji wa elimu juu ya Afya...
TUACHANE NA MILA NA DESTURI POTOFU KUHUSU HEDHI – PROF. MAKUBI
Na: WAF - TABORAKatibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi ametoa wito kwa wananchi kuachana na mila na desturi potofu kuhusu hedhi na...
TABORA KUANZA KUNUFAIKA NA HUDUMA ZA CT SCAN- PROF. MAKUBI
Na: WAF -TABORA. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi amesema hospitali ya rufaa ya Kitete kuanza huduma za CT Scan hivi karibuni.Prof. Makubi...
BRELA YAKUSUDIA KUFUTA MAKAMPUNI 5,676
DAR ES SALAAM.Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imekusudia kufuta Makampuni 5,576 ambayo yameshindwa kukidhi vigezo vya kisheria ikiwemo kutokuwasilisha Taarifa za...
NABI, PABLO WATAMBIANA
Na: Stella Kessy.KOCHA Mkuu wa kikosi cha Yanga, Nassredine Nabi, amesema kesho hawata waachia simba nafasi ya kutinga fainali kwani msimu huu malengo yao...
WILAYA YA IKUNGI NI SALAMA KWA WAFUGAJI NA WAKULIMA
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro (wa nne kulia) akiongoza kikao cha Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Ikungi kilichoketi na wananchi...