HUGHES DUGILO
DKT. BITEKO ATETA NA JUMUIYA YA WASAMBAZAJI WA MITUNGI YA GESI...
*Awashukuru kwa mchango wao utekelezaji Mkakati wa Nishati Safi ya Kupikia
* Ataka LPG ipatikane kwa wingi hadi ngazi ya Vijiji
* Ahimiza Tanzania kuwa kitovu...
WASIRA AIHAKIKISHIA MAREKANI UCHAGUZI KUWA HURU NA HAKI
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen M. Wasira, akizungumza Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mhe. Andrew Lentz, aliyemtembea ofisi kwake katika Ofisi Ndogo...
JAJI WARIOBA: NAPONGEZA CCM KWA HATUA ZAKE DHIDI YA RUSHWA
Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Jaji Joseph Sinde Warioba, amepongeza hatua zilizoanza kuchukuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
DOLA MILIONI 9 KUBORESHA UWEZO WA KITAALUMA CHUO KIKUU HURIA (OUT)
Na lilian Ekonga
Zaidi ya Dola za Kimarekani milioni tisa zimetengwa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi inayolenga kuimarisha miundombinu na rasilimali katika chuo kikuu...
FCS, STANBIC WASAINI MAKUBALIANO KUWAINUA WAJASIRIAMALI MAENEO YA MIPAKANI
Mkurugenzi Mtendaji wa The Foundation for Civil Society (FCS)Justice Rutenge, Akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya kutiliana saini makubaliano ya miaka miwili...
NAWAZA HUYU MTOTO NIMPE BABA MWINGINE!
Jina langu ni Sasha kutokea Kigamboni, Dar es Salaam, ni binti wa miaka 24, nina mtoto mmoja nilizaa na huyo kaka ni mwanachuo sasa...