ENNA SIMION
KILELE CHA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) na Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi wanashiriki Kilele...
WIZARA YA MADINI, CHAMMATA WAKUTANA KUJADILI UTATUZI WA CHANGAMOTO
#Waziri Mavunde asisitiza marufuku Wafanyabiashara wa kigeni kufuata Madini Migodini
#Aelekeza Leseni za Biashara ya Madini kutolewa kikanda
#Wizara kuweka nguvu kwenye minada midogo ya ndani
#CHAMMATA...
RAIS SAMIA AZINDUA UTALII WA KASA PANGO LA SALAAM KIZIMKAZI DINBANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Utalii wa Kasa katika Pango la Salaam, Kizimkazi Dimbani mkoa wa...
MHE.NAIBU WAZIRI WA NISHATI ,JUDITH KAPINGA AKIKAGUA BANDA LA NISHATI
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amekagua banda la Wizara ya Nishati na Taasisi zake katika tamasha la KIZIMKAZI linaloendelea Visiwani Zanzibar.
Wizara ya...
RAIS SAMIA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KIZIMKAZI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 24,2024 ametembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii na...
TARURA YAUNGANISHA KATA MBILI MANISPAA YA SHINYANGA
Na Mwandishi Wetu
Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini Tanzania (TARURA) imejenga daraja ambalo limeziunganisha Kata mbili za Ndala na Kambarage zilizopo Manispaa ya...