Home LOCAL KILELE CHA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR

KILELE CHA TAMASHA LA KIZIMKAZI ZANZIBAR

 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) na Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi wanashiriki Kilele cha Tamasha la Kizimkazi linalofanyika Mweha- Makunduchi Visiwani Zanzibar leo Agosti 25,2024.

Mgeni rasmi wa Tamasha hilo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here