ENNA SIMION
BASHUNGWA ATOA ONYO KWA MAKAMPUNI YA UJENZI YANAYOBABAISHA WATEJA WAO.
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amezinyoshea kidole baadhi ya Kampuni za Makandarasi Wazawa zinazoshindwa kutekeleza miradi na tenda za ujenzi wanazopewa kwa weledi na...
NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAENDELEO JAMII,JINSIA,WANAWAKE,NA MAKUNDI MAALUM AMEFUNGUA MAFUNZO...
Na WMJJWM, Dodoma
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Felister Mdemu amefungua mafunzo ya siku mbili kuwajengea uwezo...
MNADHIMU MKUU WA JWTZ AISHUKURU KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ULINZI...
Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni Jenerali Salum Haji Othuman ameishukuru Kamati ya Kudumu ya Bunge, Ulinzi na Mambo ya Nje ya Kisiwa cha Ushelisheli...
UBELGIJI YAUNGA MKONO AGENDA YA NISHATI SAFI – DKT. BITEKO
Dkt. Biteko akutana na Waziri wa Nishati Ubelgiji nchini Namibia
Ubelgiji ya yasema Nishati safi ni msingi wa maendeleo
Na Ofisi ya Naibu Waziri...
MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI MHE.HAMZA JOHARI AMEWASILISHA MUSWADA WA SHERIA YA...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza Johari amewasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na. 2) wa Mwaka 2024 , Muswada huo...
WAZIRI NDUMBARO AMUONGEZEA FAINI SHILINGI MILIONI 5 BABU WA TIKTOK, ATOA...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro
ameongeza adhabu ya faini kutoka shilingi milioni 3 hadi milioni 5 kwa msanii Seif Kisauji...