ENNA SIMION
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA AFRIKA KUSINI CYRIL RAMAPHOSA ...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akutana na Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa kabla ya mkutano wa G20 nchini Brazil.
Viongozi hao walishiriki katika...
BASHUNGWA AIAGIZA TANROADS KUFUNGA MIZANI MITATU YA KUPIMA UZITO WA MAGARI...
Ashuhudia foleni kubwa ya Malori Tunduma
Atoa mwezi mmoja ujenzi wa kituo cha maegesho Chimbuya kukamilishwa
Aagiza upembuzi kufanyika ili kujenga barabara...
ZOEZI LA UOKOAJI LIWE ENDELEVU-MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 18, 2024 amekagua muendelezo wa zoezi la uokoaji katika jengo lililodondoka eneo la Kariakoo Jijini Dar es...
DKT. ASHATU KIJAJI ASHIRIKI MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA AFRIKA (AMCEN)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji ameshiriki Mkutano wa Mashauriano wa Mawaziri wa Mazingira...