ENNA SIMION
NAPE NNAUYE AWATAKA WAGOMBEA KUFANYA KAMPENI ZENYE TIJA
Na Neema Mtuka, Rukwa
Mjumbe wa halmashauri kuu ya ccm Taifa na Nape Moses Nnauye amewataka wagombea wa nafasi ya mbalimbali kwenye uchaguzi wa Serikali za...
UZINDUZI WA KAMPENI YA SERIKALI ZA MITAA PWANI WATUMA SALAMU MAHSUSI...
_Kupokea Wanachama Wapya zaidi ya 50 kutoka Vyama vya Upinzani_
_Kuwanadi Wagombea 327 wa Vijiji na Vitongoji vilivyopo ndani ya Wilaya ya Kibiti_
_Umoja na...
KATIBU MKUU WA CCM DKT. NCHIMBI AWASILI FURAHISHA KWA UZINDUZI WA...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, akiwasili leo tarehe 20 Novemba 2024 katika Viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza,...
GAVU AWASILI GEITA KUZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI SERIKALI ZA MTAA
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa...
KIKWETE AKUTANA NA BALOZI WA JAPAN, WAJADILI KUWEZESHA VIJANA WA KITANZANIA...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa...