ENNA SIMION
DKT. SAMIA AWASILI MKOANI ARUSHA KUANZA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili...
SIMBA FC YAANZA KWA KISHINDO MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA
Simba SC imefanikiwa kuanza vizuri Mashindano ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika hatua ya makundi baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi...
VIONGOZI WA INEC WASHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Mwenyekiti Wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Mhe.Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele, akipiga kura katika kituo cha Shule ya Sekondari Jamhuri kililichopo Halmashari...
DC MPOGOLO APIGA KURA AWAHIMIZA WANANCHI KUENDELEA KUJITOKEZA KUPIGA KURA
Mkuu wa Wilaya ya ILALA Edward Mpogolo amewaongoza wananchi wa Wilaya hiyo kupiga kura katika uchaguzi wa Serikali za mitaa unaofanyika leo nchi mzima...
BALOZI NCHIMBI AKIPIGA KURA DODOMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amepiga kura yake katika Kituo cha Ofisi ya Mtendaji...
MHE.SILAA APIGA KURA MTAA WA GULUKAKWALALA UKONGA
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mhe. Jerry William Silaa, ameungana na wananchi wa mtaa wa...